Peter Mahamudu Msolla
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Peter Mahamudu Msolla (amezaliwa tar. 6 Mei 1945) ni mbunge wa jimbo la Kilolo katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia [hariri]
Marejeo [hariri]
- ↑ Mengi kuhusu Peter Mahamudu Msolla (18 Februari 2008). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.
| Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |