Papa Marcello II
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Marcello II (6 Mei, 1501 – 1 Mei, 1555) alikuwa papa kuanzia 9 Aprili, 1555 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Marcello Cervini degli Spannochi. Alimfuata Papa Julius III.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Marcello II katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Marcello II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
