Petro Nolasco
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mtume Petro akimtokea Mt. Petro Nolasco; mchoro wa Francisco de Zurbarán, Museo del Prado, Madrid (Hispania.)
Petro Nolasco (kwa Kifaransa Pierre Nolasque) alizaliwa huko Mas-Saintes-Puelles, Ufaransa, 1189 hivi akafariki Barcelona, leo nchini Hispania, tarehe 6 Mei 1256.
Alikuwa padri wa Kanisa Katoliki anayekumbukwa hasa kwa juhudi zake za kukomboa Wakristo waliotekwa na Waislamu utumwani. Kwa ajili hiyo alianzisha utawa wa Wamersedari.
Anaheshimiwa kama mtakatifu hasa tarehe 6 Mei kila mwaka.
Viungo vya nje [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Petro Nolasco kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |