Harry Martinson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo Nobel.png

Harry Edmund Martinson (6 Mei, 190411 Februari, 1978) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Sweden. Hasa aliandika riwaya na mashairi. Mwaka wa 1974, pamoja na Eyvind Johnson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.


Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Harry Martinson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.