Papa Silvester I
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Silvester I alikuwa papa kuanzia 31 Januari, 314 hadi kifo chake tarehe 31 Desemba, 335. Alimfuata Papa Miltiades.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Silvester I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Silvester I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |