Papa Adrian IV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Adrian IV

Papa Adrian IV (takriban 11001 Septemba, 1159) alikuwa papa kuanzia 4 Desemba, 1154 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Nicholas Breakspear. Alimfuata Papa Anastasio IV. Alikuwa Mwingereza wa pekee kuwa papa.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Adrian IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.