Papa Anastasio IV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Anastasio IV

Papa Anastasio IV alikuwa papa kuanzia 9 Julai, 1153 hadi kifo chake tarehe 3 Desemba, 1154. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Corrado di Suburra. Alimfuata Papa Eugenio III.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Anastasio IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.