Papa Sixtus III
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Sixtus III alikuwa papa kuanzia 31 Julai, 432 hadi kifo chake tarehe 18 Agosti, 440. Alimfuata Papa Celestino I.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Sixtus III katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Sixtus III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |