Mama wa Mungu
| Mwaka wa liturujia |
|---|
| Magharibi |
| Mashariki |
Mama wa Mungu (kwa Kigiriki Θεοτόκος, Theotókos; kwa Kilatini Deipara au Dei genetrix, yaani Mzaa Mungu) ni sifa kuu ya Bikira Maria mama wa Yesu Kristo.
Yaliyomo |
Msingi wa imani hiyo [hariri]
Kwa kuwa wafuasi wa Yesu wanasadiki kuwa yeye ni Mungu sawa na Baba, wengi wao wanakubali kuwa aliyemzaa kama binadamu anastahili kuitwa Mama wa Mungu.
Dogma [hariri]
Sifa hiyo ilianza kutumika katika karne ya 2 labda Misri, ikathibitishwa na Mtaguso wa Efeso (431).
Heshima katika sala [hariri]
Kwa namna ya pekee, Maria anapewa sifa hiyo katika sala ya Salamu Maria, iliyo maarufu zaidi kati ya sala za magharibi kwa mama wa Yesu.
Adhimisho katika liturujia [hariri]
Sikukuu yake inaadhimishwa na Kanisa Katoliki linalofuata mapokeo ya Kanisa la Roma tarehe 1 Januari, siku ya nane (Oktava) ya Noeli, lakini Wakatoliki wengine wanaiadhimisha siku tofauti, kwa mfano huko Milano ni Jumapili kabla ya Noeli.
Picha [hariri]
-
Panachranta Theotokos, illumination from the Gertrude Psalter.
-
Mother of God, mosaic icon, Hagia Sophia
-
The Iveron Theotokos (Iverskaya), an 11th century Russian icon based on the 10th-century Hodegetria type, Iviron Monastery, Mount Athos.
-
Theotokos Panachranta from Svensky Monastery, by St. Alypios of Kiev
-
mosaic (ca 1130), Gelati Monastery, Georgia
-
Blachernae Icon of the Theotokos
-
Kazanskaya3.jpg
Russian icon painted after the fall of the Soviet Union in the pre-Petrine style
Marejeo [hariri]
- Sirili wa Aleksandria, On the Unity of Christ, John Anthony McGuckin, trans. ISBN 0-88141-133-7
- McGuckin, John Anthony, St. Cyril of Alexandria: The Christological Controversy (1994, and reprinted 2004) ISBN 0-88141-259-7 A full description of the events of Third Ecumenical Council and the people and issues involved.
- John wa Shanghai na San Francisco,""The Orthodox Veneration of Mary, The Birth Giver of God"(2004, Sixth Printing, Third Edition). ISBN 0-938635-68-9
- Ware, Bishop Kallistos, "The Orthodox Way" (1979, Revised Edition, 1995, and reprinted 1999). ISBN 0-913836-58-3
- Maunder, Chris (ed.), The Origins of the Cult of the Virgin Mary , (2008, burns & oates/continuumbooks). ISBN 978-0-86012-456-6
Viungo vya nje [hariri]
- Theotokos article on the Orthodox Wiki
- Resources on the Theotokos
- Study of the Mother of the Lord the All-Holly Theotokos and Ever-Virgin Mary by St. Nectarios (in Greek)