23 Machi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Feb - Machi - Apr | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Tarehe 23 Machi ni sikukuu ya Mtakatifu Turibio wa Mongrovejo.
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1823 - Schuyler Colfax, Kaimu Rais wa Marekani (1869-1873)
- 1858 - Ludwig Quidde (mwanasiasa Mjerumani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1927)
- 1881 - Roger Martin du Gard (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1937)
- 1881 - Hermann Staudinger (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1953)
- 1907 - Daniel Bovet (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1957)
- 1910 - Akira Kurosawa, mwongozaji wa filamu kutoka Japani
Waliofariki [hariri]
- 1555 - Papa Julius III
- 1559 - Gelawdewos, Mafalme Mkuu wa Uhabeshi
- 1606 - Mtakatifu Turibio wa Mongrovejo, askofu wa mji wa Lima, Peru