Ludwig Quidde

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo Nobel.png

Ludwig Quidde (23 Machi, 18585 Machi, 1941) alikuwa mwanahistoria na mwanasiasa kutoka nchi ya Ujerumani. Alijitahidi kutekeleza amani ya kimataifa, hasa wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Mwaka wa 1927, pamoja na Ferdinand-Edouard Buisson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.

Administradors.gif Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ludwig Quidde kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.