John C. Calhoun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John C. Calhoun

John Caldwell Calhoun (18 Machi, 178231 Machi, 1850) alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Marais John Quincy Adams na Andrew Jackson kuanzia mwaka wa 1825 hadi 1832 alipojiuzulu.

Administradors.gif Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John C. Calhoun kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.