Theuns Jordaan
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Theuns Jordaan (amezaliwa tar. 10 Januari 1971 huko Rasi ya Mashariki, Afrika Kusini) ni mwimbaji, mpigaji gitaa na mtungaji wa muziki. Pia ni mshindi wa tuzo nyinginyingi za muziki-Platini CD kama msanii bora.
Albamu [hariri]
- Vreemde stad (1999)
- Tjailatyd (2002)
- Seisoen (2005)
- Grootste Treffers (2007)
- Bring Jou Hart - met Juanita Du Plessis (2008)
- Driekuns (2009)
- Kouevuur - Die musiek van Koos Du Plessis(2009)
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Theuns Jordaan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |