Selena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Selena
Selena
Selena
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Selena Quintanilla-Perez
Amezaliwa 16 Aprili 1971 (1971-04-16) (umri 41)
Lake Jackson, Texas
Asili yake USA
Aina ya muziki Pop, Latin pop, R&B
Kazi yake Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwigizaji, mwanamuziki, mtayarishaji wa rekodi
Ala Sauti
Miaka ya kazi 1984-1995
Studio EMI Records, EMI Latin
Tovuti Q-Productions

Selena, wake jina la kuzaliwa Selena Quintanilla (amezaliwa tar. Aprili 16, 1971, mjini Lake Jackson. alikufa, Machi 31, 1995, mjini Corpus Christi, Texas) ni mwimbaji wa muziki aina ya Tejanopop. Alikuwa mara nyingi huitwa "Malkia wa Tejano muziki".

Yaliyomo

[hariri] Diskografia

Makala kuu ya: Diskografia ya Selena

[hariri] Studio Albamu kwa pre-EMI

  • 1984: Mis Primeras Grabaciones
  • 1985: The New Girl in Town
  • 1986: Alpha
  • 1987: Munequito de Trapo
  • 1987: And the Winner Is...
  • 1988: Preciosa
  • 1988: Dulce Amor

[hariri] Studio Albamu kwa EMI Latin

  • 1989: Selena
  • 1990: Ven Conmigo
  • 1992: Entre a Mi Mundo
  • 1993: Selena Live!
  • 1994: Amor Prohibido
  • 1995: Dreaming of You

[hariri] Viungo vya Nje

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Selena kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine