Zenobi wa Saida

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Zenobi wa Saida (alifariki Saida, Foinike, katika Lebanoni ya leo, karne ya 4) alikuwa padri aliyeuawa kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano wa Dola la Roma.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini[1].

Sikukuu yake ni tarehe 29 Oktoba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.