Papa Innocent IX
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Innocent IX (20 Julai, 1519 – 30 Desemba, 1591) alikuwa papa kuanzia 29 Oktoba, 1591 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Antonio Facchinetti. Alimfuata Papa Gregori XIV.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Innocent IX katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent IX kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |