Norman Ramsey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Norman Foster Ramsey (amezaliwa 27 Agosti 1915) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza sehemu za atomu na mbinu na kuzichunguza. Mwaka wa 1989, pamoja na Wolfgang Paul na Hans Georg Dehmelt alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Norman Ramsey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.