15 Aprili
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mac - Aprili - Mei | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1452 - Leonardo da Vinci, mchoraji na mwanasayansi kutoka Italia
- 1874 - Johannes Stark (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1919)
- 1896 - Nikolay Semyonov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1956)
- 1907 - Nikolaas Tinbergen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1973)
- 1938 - Claudia Cardinale, mwigizaji filamu kutoka Italia
- 1984 - Valery Nahayo, mchezaji mpira kutoka Burundi
Waliofariki [hariri]
- 69 - Otho, Kaisari wa Dola la Roma
- 1865 - Abraham Lincoln, Rais wa Marekani (1861-65)
- 1980 - Jean-Paul Sartre (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1964)
- 1982 - Teofilo Kisanji, askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania