17 Aprili
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mac - Aprili - Mei | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Tarehe 17 Aprili ni sikukuu ya Mtakatifu Papa Anicetus.
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1894 - Nikita Krushchov, kiongozi wa Umoja wa Kisovyeti 1953-64
- 1897 - Thornton Wilder (mwandishi Mmarekani)
- 1959 - Sean Bean, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
- 1961 - Carlo Rota, mwigizaji filamu kutoka Kanada
Waliofariki [hariri]
- 858 - Papa Benedikto III
- 1711 - Kaisari Joseph I wa Ujerumani
- 1942 - Jean Perrin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1926)
- 1976 - Henrik Dam (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1943)
- 1986 – Bessie Head, mwandishi wa Afrika Kusini na Botswana
- 1994 - Roger Sperry, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1981
- 2008 - Aime Cesaire (mwandishi kutoka Martinique)