69
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 1 KK | Karne ya 1 | Karne ya 2 | ►
◄ | Miaka ya 30 | Miaka ya 40 | Miaka ya 50 | Miaka ya 60 | Miaka ya 70 | Miaka ya 80 | Miaka ya 90 | ►
◄◄ | ◄ | 65 | 66 | 67 | 68 | 69 | 70 | 71 | 72 | 73 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 69 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
- Mwaka wa 69 ni mwaka wa Makaisari wanne: Baada ya kifo cha Nero, kulikuwa na Makaisari watatu waliotawala kwa miezi michache tu, yaani Galba, Otho na Vitellius kabla ya Vespasian kushika mamlaka.
[hariri] Waliozaliwa
| Kalenda ya Gregori | 69 LXIX |
| Kalenda ya Kiyahudi | 3829 – 3830 |
| Kalenda ya Ethiopia | 61 – 62 |
| Kalenda ya Kiarmenia | I/T |
| Kalenda ya Kiislamu | 570 BH – 569 BH |
| Kalenda ya Kiajemi | 553 BP – 552 BP |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 124 – 125 |
| - Shaka Samvat | N/A |
| - Kali Yuga | 3170 – 3171 |
| Kalenda ya Kichina | 2765 – 2766 戊辰 – 己巳 |
bila tarehe
- Polikarpo Mtakatifu, askofu wa mji wa Smirna
[hariri] Waliofariki
- 15 Januari - Galba, Kaisari wa Dola la Roma
- 15 Aprili - Otho, Kaisari wa Dola la Roma
- 22 Desemba - Vitellius, Kaisari wa Dola la Roma
Wikimedia Commons ina media kuhusu: