Galba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Servius Suplicius Galba (24 Desemba, 3 KK – 15 Januari, 69) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 8 Juni, 68 hadi kifo chake. Alimfuata Nero.
| Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Galba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |