Dustin Hoffman
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Dustin Hoffman | |
|---|---|
Dustin Hoffman |
|
| Amezaliwa | Dustin Lee Hoffman 8 Agosti 1937 |
Dustin Lee Hoffman (amezaliwa tar. 8 Agosti, 1937) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Amepata kucheza katika mafilamu kibao.
Yaliyomo |
[hariri] Wasifu
[hariri] Maisha ya awali
Hoffman alizaliwa mjini Los Angeles, California. Ni mtoto wa Lillian, mpiga piano wa muziki wa jazz, na Harry Hoffman, ambaye anafanyakazi katika kampuni ya filamu ya Columbia Pictures, ambapo alikuwa akifanyakazi kama mpambaji kabla ya kuwa mwuzaji fanicha.[1][2] Kaka yake, Ronald, ni mwanasheria na mwana-uchumi. Familia ya Hoffman ni Wayahudi, japokuwa yeye mwenyewe hakukulia katika madhehebu ya dini hiyo.[3][4]Alimaliza elimu yake ya juu katika shule iliopo mjini Los Angeles mnamo 1955.
[hariri] Marejeo
- ↑ Yahoo movies biography.
- ↑ Film Reference.com biography.
- ↑ Bernard, Sarah. "The Tortoise and the Whoopee Cushion", New York Magazine, 2007-11-18. Retrieved on 2007-11-22.
- ↑ Hoffman's Jewish return. Ynet.com. 19 November 2006.
[hariri] Viungo vya Nje
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dustin Hoffman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |