Fridtjof Nansen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fridtjof Nansen (mwaka wa 1890)
Fridtjof Nansen alivyosafiri barafuni
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Fridtjof Nansen (10 Oktoba 186113 Mei 1930) alikuwa mpelelezi wa maeneo ya ncha ya Kaskazini, mwanazuolojia na mwanasiasa kutoka nchi ya Norwei. Katika safari yake ya miaka 1888-89 alikuwa mpelelezi wa kwanza kuvuka kisiwa cha Greenland kutoka Mashariki kwenda Magharibi. Miaka ya 1893-96 alisafiri na meli yake iliyoitwa Fram ndani ya barafu ya Bahari ya Ncha ya Kaskazini. Miaka ya 1906-08 alikuwa balozi ya Norwei kule London, Uingereza. Mwaka wa 1922 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fridtjof Nansen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.