William Inge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
William Inge alivyopigiwa picha na Carl Van Vechten mwaka wa 1954

William Motter Inge (3 Mei, 191310 Juni, 1973) alikuwa mwandishi wa michezo ya kuigiza kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1954 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer kwa ajili ya tamthiliya yake iitwayo kwa Kiingereza Picnic.

Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Inge kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine