Albert Camus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Albert Camus

Albert Camus (7 Novemba 19134 Januari 1960) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ufaransa. Alizaliwa katika nchi ya Algeria. Hasa anajulikana kwa riwaya zake, k.m. "Mgeni" (kwa Kifaransa L'Étranger, mwaka wa 1942) au "Tauni" (La Peste, mwaka wa 1947). Mwaka wa 1957 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi. Aliuawa katika ajali ya motokaa.

Albert Camus alivyochorwa na Petr Vorel.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Albert Camus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.