William Golding

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo Nobel.png

William Gerald Golding (19 Septemba, 191119 Juni, 1993) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Uingereza. Hasa aliandika riwaya, kwa mfano "Bwana wa Nzi" (kwa Kiingereza Lord of the Flies) iliyotolewa mwaka wa 1954. Mwaka wa 1983 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi. Mwaka wa 1988 alipewa cheo cha Sir cha Uingereza.


Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Golding kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.