Antonín Dvořák

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Antonín Dvořák.
Antonín Dvořák.

Antonín Dvořák (8 Septemba 1841 - 1 Mei 1904) alikuwa mtunzi wa Opera maaruufu kutoka Jamhuri ya watu wa Cheki. Yaaminika kwamba Dvořák, Smetana na Janáček ni watunzi watatu wa Ucheki, ambao walitunga tungo nyingi zenye kuhusu nchi yao.

[hariri] Viungo vya nje

[hariri] Tungo na baadhi ya rekodi zake



Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Antonín Dvořák" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Antonín Dvořák kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.


Orodha ya Wanamuziki wa kipindi cha Romatiki
Alkan Balakirev Beethoven Bellini Berlioz Berwald Bizet Borodin Brahms Bruckner Chopin Cui Dvořák Elgar Field Franck Glinka Grieg Liszt Mahler Mendelssohn Mussorgsky Rachmaninoff Rimsky-Korsakov Saint-Saëns Schubert Schumann Smetana Strauss Tchaikovsky Verdi Wagner Wolf Weber
Vifaa binafsi