John Field (composer)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John Field (26 Julai 1782 – 23 Januari, 1837) alikuwa mtunzi wa Opera na mpigaji kinanda maarufu kutoka nchini Ireland. Anafahamika zaidi kwa kuwa mtunzi wa kwanza kutunnga nyimbo za kupigwa nyakati za usiku (kwa Kiing. nocturnes).
[hariri] Viungo vya nje
- John Field: The Irish Romantic (1782-1837)(Dead Link)
- An article on Field originally published in The Etude, 1915
- John Field ame orodheshwa katika International Music Score Library Project
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Field (composer) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |