Giuseppe Verdi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Giuseppe Verdi.

Giuseppe Verdi (aliz. mjini Roncole karibu na Busseto, 9au 10 Oktoba 1813 - alifariki [Milan] mnamo 27 Januari 1901) alikuwa mtunzi opera kutoka nchini Italia.

Yaaminika kwamba Verdi na Richard Wagner walikuwa watunzi wakubwa kabisa wa muziki ya opera kwa kipindi cha karne ya 19, ingawaje walikuwa wakiishi nchi tofauti.

[hariri] Viungo vya nje


Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Giuseppe Verdi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Orodha ya Wanamuziki wa kipindi cha Romatiki
Alkan Balakirev Beethoven Bellini Berlioz Berwald Bizet Borodin Brahms Bruckner Chopin Cui Dvořák Elgar Field Franck Glinka Grieg Liszt Mahler Mendelssohn Mussorgsky Rachmaninoff Rimsky-Korsakov Saint-Saëns Schubert Schumann Smetana Strauss Tchaikovsky Verdi Wagner Wolf Weber