Mudhihir Mohamed Mudhihir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Mudhihir Mohamed Mudhihir (amezaliwa tar. 1 Januari 1950) alikua mbunge wa jimbo la Mchinga katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia [hariri]

Marejeo [hariri]

  1. Mengi kuhusu Mudhihir Mohamed Mudhihir (17 Julai 2006). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.