Go-Sai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Go-Sai (1 Januari, 163822 Machi, 1685) alikuwa mfalme mkuu wa 111 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Nagahito. Tarehe 5 Januari, 1655 alimfuata kaka yake, Go-Komyo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 5 Machi, 1663. Aliyemfuata ni mdogo wake Reigen.

Imperial Seal of Japan.svg Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Sai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine