Papa Innocent VIII
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Innocent VIII (1432 – 25 Julai, 1492) alikuwa papa kuanzia 29 Agosti, 1484 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Battista Cybo (au Cibo). Alimfuata Papa Sixtus IV.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Innocent VIII katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |