Walther Nernst
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Walther Hermann Nernst (25 Juni, 1864 – 18 Novemba, 1941) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Aliongeza utafiti wa kemia kwa jumla. Mwaka wa 1920 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.