Henri Dunant

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Henri Dunant, takriban 1860
Henri Dunant, takriban 1860

Henri Dunant (8 Mei, 182830 Oktoba, 1910) alikuwa mwandishi na mfadhili wa nchi ya Uswisi. Mwaka wa 1859 alianzisha Chama cha Kimataifa cha Msalaba Mwekundu. Pia alisababisha Mapatano ya Geneva. Mwaka wa 1901, pamoja na Frederic Passy, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Henri Dunant" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Henri Dunant kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi