André Gide

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Andre Gide)
Andre Gide, mwaka wa 1920

André Gide (22 Novemba 186919 Februari 1951) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ufaransa. Mada za maandiko yake ni pamoja na kumtafuta Mungu, shajara za maisha yake, na ushoga. Tawasifu yake "Punje ya Ngano Isipokufa ..." (kwa Kifaransa Si le grain ne meurt ...) ilitolewa mwaka wa 1926. Mwaka wa 1947 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu André Gide kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.