Hans Spemann
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hans Spemann (27 Juni, 1869 – 12 Septemba, 1941) alikuwa mwanazuolojia na mwanafiziolojia kutoka nchi ya Ujerumani. Kwa mfano alitafiti maendeleo ya miili ya aina ya chura. Mwaka wa 1935 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
| Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hans Spemann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |