Papa Innocent II
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Innocent II alikuwa papa kuanzia 14 Februari 1130 hadi kifo chake tarehe 24 Septemba 1143. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gregorio Papareschi.
Alimfuata Papa Honorius II akafuatwa na Papa Celestino II.
Viungo vya nje [hariri]
Papa Innocent II katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |