Iowa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

[Bendera ya Iowa
[Bendera ya Iowa
Mahali pa Iowa katika Marekani
Mahali pa Iowa katika Marekani

Iowa ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika magharibi ya kati ya Marekani bara. Imepakana na Minnesota, Nebraska, South Dakota, Missouri na Illinois. Mto Missisippi ni mpaka wake upande wa mashariki kutazama Wisconsin na Illinois; mto Missouri ni mpapa wake upande magharibi kutazama Nebraska. Imekuwa jimbo la Marekani tangu 1846.

Mji mkuu wa jimbo na pia mji mkubwa ni Des Moines. Idadi ya wakazi wa jimbo lote hufikia watu 2,926,324 wanaokalia eneo la 145,743 km² ambalo ni hasa tambarare lenye rutba.

[hariri] Economy

Shamba la Iowa
Shamba la Iowa

Kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi na kuna mashamba makubwa Iowa. Mahindi yanayolimwa hasa pamoja na soya yanalisha nguruwe na ng'ombe. Sehemu ya mazao hutumiwa kwa kutengeneza petroli ya ethanol.


Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Iowa" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Iowa kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.


Majimbo na maeneo ya Marekani
Majimbo ya Marekani
AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming
Mkoa wa Mji Mkuu
Mkoa wa Columbia (Washington D.C.)
Visiwa vya ng'ambo
Katika Pasifiki: Samoa ya MarekaniVisiwa vya Mariana ya KaskaziniGuamKatika Karibi: Puerto RicoVisiwa vya Virgin vya MarekaniVisiwa vidogo sana vya Pasifiki:Kisiwa cha HowlandKisiwa cha JarvisAtolli ya JohnstonKingman ReefAtolli ya MidwayKisiwa cha BakerAtolli ya PalmyraKisiwa cha WakeKisiwa kidogo cha Karibi: Kisiwa cha Navassa
Vifaa binafsi