South Dakota
| South Dakota | |||
| Mahali pa South Dakota katika Marekani | |||
|
|||
| Nchi | |||
|---|---|---|---|
| Mji mkuu | Pierre | ||
| Eneo | |||
| - Jimbo | 199,731 km² | ||
| - Bara | 196,540 km² | ||
| - Maji | 3,190 km² | ||
| Tovuti: http://www.sd.gov/ | |||
South Dakota' (Dakota Kusini) ni jimbo la Marekani upande wa kaskazini kati ya nchi. Mji mkuu ni Pierre na mji mkubwa ni Sioux Falls. Imepakana na North Dakota (Dakota Kaskazini), Minnesota, Iowa, Nebraska, Wyoming na Montana. Jimbo lina wakazi wapatao 804,1974 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 199,905.
Mlima Rushmore (Kiing.:Mount Rushmore) ni ukumbusho mashuhuri katika jimbo la South Dakota.
[hariri] Viungo vya Nje
| Majimbo ya Marekani |
|---|
|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu South Dakota kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |