Missouri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru








Missouri

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Marekani Marekani
Mji mkuu Jefferson City
Eneo
 - Jumla 180,533 km²
 - Kavu 178,414 km² 
 - Maji 2,120 km² 
Tovuti:  http://www.missouri.gov/

Missouri ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu ni Jefferson City na Kansas City ni mji mkubwa. Imepakana na Iowa, Illinois, Kentucky, Tennessee, Arkansas, Oklahoma, Kansas na Nebraska. Jimbo lina wakazi wapatao 5,911,605 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 180,533.

Upande wa mashariki kuna wa Mto Mississippi. Mto Missouri inaendelea kupita jimbo ya Missouri.

Kiingereza ni lugha rasmi.

Miji muhimu baada ya Kansas City ni Saint Louis, Columbia na Springfield.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Missouri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.