Chacha Zakayo Wangwe
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chacha Zakayo Wangwe (amezaliwa tar. 15 Julai 1956 - 27 Julai 2008) alikuwa mbunge wa jimbo la Tarime katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CHADEMA.
Tazama pia [hariri]
Marejeo [hariri]
- ↑ Mengi kuhusu Chacha Zakayo Wangwe (13 Agosti 2008). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.
| Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |