Tarime

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Mji Mdogo wa Tarime
Mji Mdogo wa Tarime is located in Tanzania
Mji Mdogo wa Tarime
Mji Mdogo wa Tarime

Mahali pa Tarime katika Tanzania

Majiranukta: 1°20′32″S 34°22′48″E / 1.34222°S 34.38000°E / -1.34222; 34.38000
Nchi Tanzania
Mkoa Mara
Wilaya Tarime
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 33,431
Tarime

Tarime ni mji mdogo na makao makuu ya wilaya ya Tarime katika Mkoa wa Mara. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa kata ya Tarime ilihesabiwa kuwa 29,339 [1].

Mwaka 2012 kata ya Tarime Mjini iligawiwa kuwa kata za Bomani, Sabasaba na Nyamisangura.


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Matokeo ya sensa ya 2002". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-03-20. Iliwekwa mnamo 2004-03-20. 
Kata za Wilaya ya Tarime Vijijini - Mkoa wa Mara - Tanzania

Binagi * Bumera * Ganyange * Gorong'a * Gwitiryo * Itiryo * Kemambo * Kibasuka * Kiore * Komaswa * Kwihancha * Manga * Matongo * Mbogi * Muriba * Mwema * Nyakonga * Nyamwaga * Nyansincha * Nyanungu * Nyarero * Nyarokoba * Pemba * Regicheri * Sirari * Susuni


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tarime kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno.