Papa Celestino I
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Celestino I alikuwa papa kuanzia 10 Septemba, 422 hadi kifo chake tarehe 26 Julai, 432. Alimfuata Papa Boniface I.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Celestino I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Celestino I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
