Ana
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ana (kutoka Kiebrania Hannah חַנָּה, yaani "fadhili") anaheshimiwa kama mama wa Bikira Maria na bibi wa Yesu kadiri ya mapokeo ya Ukristo na Uislamu, ingawa hatajwi katika Biblia wala katika Kurani, isipokuwa katika kitabu cha karne ya 2 kinachoitwa Injili ya Yakobo.
Humo anatajwa pia mume wake Yohakimu. Wote wawili wanaheshimiwa kama watakatifu katika madhehebu mengi ya Ukristo, hasa tarehe 26 Julai.
-
Presentation of Mary at the Temple
-
Annunciation to Anne mosaic, 12th century, Chora Church, Istanbul
Viungo vya nje[hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Saint Anne at Patron Saints Index
- Brief American Catholic article on "Sts. Joachim and Ann"
- "Anna, Grandmother of Jesus" by Claire Heartsong
- St. Anne page at Christian Iconography
- "Here Followeth the Nativity of Our Blessed Lady" from the Caxton translation of the Golden Legend
- The Protevangelium of James
- The Gospel of Pseudo-Matthew