James Reston

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

James Barrett Reston (3 Novemba, 19096 Desemba, 1995) alikuwa mwandishi wa habari kutoka nchi ya Marekani. Alizaliwa Uskoti. Mwaka wa 1945 na tena 1957, alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa insha zake katika gazeti la New York Times.

Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Reston kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine