Yoshihito

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yoshihito

Yoshihito (31 Agosti, 187925 Desemba, 1926) alikuwa mfalme mkuu (Tenno) wa Japani. Alimfuata baba yake, Mutsuhito, tarehe 13 Juni, 1912 na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni mwana wake Hirohito.

Imperial Seal of Japan.svg Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yoshihito kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.