Alberto Hurtado
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alberto Hurtado Cruchaga (22 Januari 1901 – 18 Agosti 1952) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mtawa katika Shirika la Wajesuiti kutoka nchi ya Chile.
Alisoma sheria na kujitahidi kwa ajili ya mafukara nchini mwake.
Sababu ya kifo chake ilikuwa kansa.
Mwaka 2005 alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mtakatifu.
Maandishi muhimu zaidi[hariri]
- ¿Es Chile un pais católico? (English: Is Chile a Catholic country?), Santiago (Chile), 1941.
- Humanismo social (English: Social humanism), Santiago (Chile), 1947.
- El orden social cristiano en los documentos de la jerarquía católica (English: Christian social order in the documents of the Catholic hierarchy), 2 vol., Santiago (Chile), 1947.
- Sindicalismo: historia-teoría-práctica (English: Syndicalism: History-Theory-Practice), Santiago (Chile), 1950.
Marejeo[hariri]
- CID, F.D.: El humanismo de Alberto Hurtado S.J., Santiago (Chile), 1975.
- LAVIN, A.: El P.Hurtado, amigo y apostol de los jovanes, Santiago (Chile), 1978.
- GILFEATHER, Katherine A.: Alberto Hurtado, a man after God's Heart, Santiago (Chile), 2004.
Viungo vya nje[hariri]
- Padre Hurtado's Official Canonization Website (Spanish)
- "Padre Hurtado" Documentation and Studies Center (Spanish)
- Padre Hurtado: Some of his writings and his biography (English)
- Fundación Padre Hurtado (Spanish)
- The making of a saint (English)
- Hogar de Cristo (English)
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alberto Hurtado kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |