Svante Arrhenius

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png
Svante Arrhenius

Svante Arrhenius (19 Februari, 18592 Oktoba, 1927) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Sweden. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza uchanganuaji dutu kwa nguvu za umeme (elektrolisisi). Mwaka wa 1903 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

[hariri] Viungo vya nje


Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Svante Arrhenius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine