Karl Alexander Müller

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Karl Alexander Müller

Karl Alexander Müller (amezaliwa 20 Aprili 1927) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uswisi. Hasa alichunguza mambo ya upitishaji wa hali ya juu. Mwaka wa 1987, pamoja na Johannes Bednorz alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karl Alexander Müller kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.