Günter Grass
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Gunter Grass)
Günter Wilhelm Grass (amezaliwa 16 Oktoba, 1927) ni mwandishi kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa ameandika riwaya na insha, na pia tamthiliya na mashairi. Mwaka wa 1999 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

